Kenyans Live

Wakazi zaidi ya 1,000 Maungu kaunti ya Taita Taveta wapata huduma za matibabu ya bure

Description (show more)

Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu moja eneo la Maungu kaunti kaunti ya Taita Taveta baada ya kunufaika na huduma mbalimbali za matibabu kutoka kwa mamlaka ya bandari nchini.

Share: