Vijana Uasin Gishu walalamikia kutengwa katika maandalizi ya sherehe za Mashujaa dei
Description (show more)
Kaunti ya Uasin Gishu inapojiandaa kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya sherehe za mashujaa Dei mwezi huu, Vijana katika kaunti ya Uasin Gishu wameibua lalama za kutengwa kwenye maandalizi ya sherehe hizo. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Bonface Barasa wametaka kujumuishwa kwenye mipangilio, wakidai wana ubunifu ambao wangependa kuonyesha siku hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.5K views
11:54:58#iNooroTVLive
· 102K views
1:53:44LIVE: News Check with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 780 views
1:31:25The Last Word | Who is responsible for Nairobi's deadly buildings?
· 165 views
1:54Kenya records decline in fertility rate
· 48 views
33:09🔴LIVE || TV47 HABARI naye Andrine Kilemi || TV47KENYA
· 3K views
59:41Investing in Kenya: Opening a new chapter for the economy
· 59 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 172 views
