Wadau wahofia machafuko kuelekea uchaguzi mkuu ujao
Description (show more)
Wadau mbalimbali wameelezea wasiwasi kuhusu uwezekano wa machafuko kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu ujao. Kampeni zinazokumbwa na vurugu pamoja na kuongezeka kwa magenge ya wahuni wanaodaiwa kutumiwa na wanasiasa kuwavuruga wapinzani wao zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu kuu zinazoweza kuchochea ghasia za uchaguzi. Hata hivyo, maafisa wa polisi wametoa hakikisho la kuimarisha usalama wakati wa kampeni na uchaguzi, huku vyama vya kisiasa vikitia saini mkataba wa kudumisha nidhamu na amani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 7.1K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 16K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 222 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 996 views
