Kenyans Live

Ongezeko la visa vya ubakaji na ulawiti lazua wasiwasi Butula

Description (show more)

Ongezeko la visa vya ubakaji na ulawiti katika eneo bunge la butula sasa vimezua wasiwasi miongoni mwa watawala katika eneo bunge hilo, jamii ikilaumiwa kwa kuonekana kufumbia macho maovu hayo.

Share: