Kindiki asema wasambazaji wa pombe haramu na mihadarati wanamulikwa
Description (show more)
Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema serikali inawamulika watu wanaosambaza pombe haramu na mihadarati humu nchini. Kwenye kikao na wakuu wa usalama katika makao yake ya Karen, jijini Nairobi, Profesa Kindiki alithibitisha kuwa operesheni ya kuvunja makundi ya wakiritimba wanaohusika na biashara hiyo haramu inaendelea huku vilabu vyote vinavyotengeneza vileo visivyoafiki viwango vikifungwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
