Margaret Nyakang’o: Ahadi za Ruto za Sh700bn Nyanza zahitaji bajeti maalum
Description (show more)
Wiki iliyopita, Rais William Ruto alitoa ahadi za shilingi bilioni 700 eneo la Nyanza, serikali ya kitaifa inapoendelea kuwekeza katika eneo hilo. Msimamizi wa bajeti serikalini, Margaret Nyakang’o, hata hivyo anasema itabidi serikali iandae bajeti za kutekeleza ahadi hizo, ikiwa bajeti ya sasa haijaratibu miradi hiyo. Mwanahabari wetu Ben Kirui anaaarifu, huku ikibainika kuwa baadhi ya miradi iliyoanzishwa mwaka wa kifedha uliopita haikuwa na bajeti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
2:18Waziri wa madini Hassan Joho aonya dhidi ya siasa za chuki na uchochezi kuelekea uchaguzi wa 2027
· 32 views
