Kenyans Live

Wakenya mijini wahimizwa kutotupa taka kwenye mitaro kukabili mafuriko

Description (show more)

Wakenya wanaoishi mijini wametakiwa kujiepusha na Kutupa taka ya aina yoyote Ile Kwenye mĩtaro ya kupeleka maji taka, kama njia ya kujiepusha na mafuriko ya mvua ya El Nino, inayotarajiwa nchini.

Share: