Kenyans Live

IPOA ichunguza kifo cha Mkenya katika seli Kitengela

Description (show more)

Mamlaka ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi IPOA sasa inachunguza kifo tata katika kituo cha polisi cha Kitengela. Inadaiwa kuwa Eric Otieno mwenye uraia wa Kenya na Marekani amefariki katika seli za kituo hicho baada ya kukamatwa pamoja na rafiki yake Ijumaa jioni. Ode Francis na mengi zaidi.

Share: