Wanaharakati wapendekeza mabadiliko ya sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu
Description (show more)
Wanaharakati wa mageuzi ya katiba sasa wanapanga kuwasilisha pendekezo la mageuzi ya sheria za uchaguzi, chini ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Muungano wa kupigania mageuzi ukitaka jukumu la mwenyekiti wa IEBC liwe kujumuisha na kutangaza matokeo ya urais kama yalivyotangazwa katika vituo vya maeneo bunge. Aidha wanataka kuondolewa kwa kituo kikuu cha kujumlisha kura, kama Willy Lusige anavyoarifu.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 21 views
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
