Kenyans Live

Gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii asema walemavu watalipwa pesa zao

Description (show more)

Gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii amevunja kimya chake kuhusiana na tuhuma zilizoibuliwa na watu wanaoishi na ulemavu kaunti hiyo,ya kuituhuma serikaki yake kwa kupunja fedha walizotengewa shilingi milioni kumi na Tano.

Share: