Kenyans Live

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa awaonya wakazi wa Magharibi mwa Kenya kuhusu Ebola

Description (show more)

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amewasihi wakazi wa eneo la magharibi mwa Kenya kuwa macho kufuatia ripoti za kifo kinachohusiana na ugonjwa wa ebola jijini nairobi.

Share: