Kenyans Live

Ufalme wa jamii ya Iteso

Description (show more)

Maandilizi ya sherehe za maadhimisho ya miaka minne ya hatamu ya uongozi wa mfalme wa jamii ya Iteso Papa Sande Emolot yameshika kasi, jamii hiyo ikihimizwa kutumia msimu huu wa mvua kupanda miti ikiwa ndiyo mandhari ya sherehe hizo za kitamaduni

Share: