Kenyans Live

Kamishna wa kaunti ya Embu aamuru baa zisizosajiliwa kufungwa

Description (show more)

Kamishna wa Kaunti ya Embu, Morris Wanyonyi, ameamuru baa na maduka ya pombe yasiyosajiliwa katika maeneo ya mashambani kufungwa mara moja, katika juhudi mpya za kukabiliana na pombe haramu.

Share: