Kenyans Live

Kenya Kwanza yamtaka Kalonzo kujiunga na kampeni za Ruto

Description (show more)

Viongozi wa Kenya Kwanza wamemtaka kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, kuasi upinzani na kujiunga na kampeni za kumpigia debe Rais William Ruto kwa muhula wa pili, wakidai anadhalilishwa na wenzake. Viongozi hao wamesema Kalonzo haheshimiwi ipasavyo ndani ya upinzani, wakimrai ajinasue kabla ya kusalitiwa.

Share: