Kenyans Live

Mwanamume adaiwa kumuua mkewe Mombasa

Description (show more)

Maafisa wa polisi katika eneo la Nyali, kaunti ya Mombasa wanachunguza tukio ambapo mwanamme anadaiwa kuwauwa kwa kuwachoma kisu mkewe na mmoja wa watoto wao kufuatia mzozo wa kifamilia. Mshukiwa anayejulikana kama Richard Matiko pia anasemekana kujaribu kumshambulia mtoto wao mwingine mwenye umri wa miaka 14 lakini mtoto huyo alinusurika akiachwa na majeraha ya kisu. Matiko baadaye alijisalimisha kwa polisi ambapo alizuiliwa huku makachero wakianza uchunguzi kuhusiana na tukio hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: