Kenyans Live

Maafisa wawili wa polisi wafikishwa mahakamani kwa madai ya kuhusika na genge la uhalifu Kasarani

Description (show more)

Watu wanne, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya uhalifu katika eneo la Kasarani hapa jijini Nairobi. Inadaiwa maafisa hao, ambao walikuwa wamesimamishwa kazi kwa muda, ni miongoni mwa genge hatari ambalo limekuwa likihusika na uhalifu maeneo ya Kasarani, Kahawa na Githurai. Franklin Wallah na mengi zaidi.

Share: