Kenyans Live

Viongozi wa Jubilee kaunti ya Nyamira wampongeza Uhuru kwa kumteua Matiang’i

Description (show more)

Viongozi wa chama cha Jubilee katika kaunti ya Nyamira wamempongeza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kumteua aliyekuwa Waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang'i kuwa kinara wa chama cha Jubilee.

Share: