Kenyans Live

Narok yaadhimisha siku ya Polio duniani kwa wito wa kuungana kutokomeza ugonjwa huo

Description (show more)

Siku ya kupooza duniani iliadhimishwa kaunti ya narok kwa maandamano ya pamoja ya uhamasishaji, huku ujumbe mkuu ukiwa ni wito kwa wahudumu wa afya na umma kuchukua jukumu la kibinafsi kuondoa kabisa ugonjwa huu

Share: