Maandalizi ya sherehe za sikukuu ya Mashujaa yaingia awamu ya mwisho
Description (show more)
Maandalizi ya sherehe za sikukuu ya Mashujaa mwaka huu yameingia katika awamu ya mwisho, katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo akithibitisha ujenzi wa uwanja wa michezo wa Kipchoge Keino ulioko Eldoret ambako sherehe hizo zitaandaliwa umefikia asilimia 68 kukamilika. Haya yanajiri huku katibu katika wizara ya fedha Chris Kiptoo akisema sherehe za mwaka huu zitatoa nafasi kwa taifa hili kuangazia safari yake ya maendeleo pamoja na kupanga mikakati ya kusonga mbele baada ya mwaka 2030. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
24:08| DAY BREAK | Sakaja joins ODM
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:40:33Citizen TV Live:
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:48:28