Ruto adai kutimiza ahadi zote za kampeni za 2022
Description (show more)
Rais William Ruto sasa anasema kuwa serikali yake imetimiza ahadi zote alizowapa Wakenya wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Katika hotuba yake wakati wa sherehe za Mashujaa zilizofanyika Eldoret, rais alijikita zaidi katika kuelezea miradi na mafanikio ya maendeleo ya serikali yake. Melita Oletenges anaangazia zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
