Kenyans Live

KENASA yashinikiza muswada wa kusajili na kudhibiti wataalamu wa ukatibu na utawala nchini

Description (show more)

Chama cha Makatibu cha Kitaifa (KENASA) kinashinikiza kutungwa kwa muswada muhimu wa kuanzisha chombo maalum cha kisheria na mfumo wa kisheria unaolenga kurasimisha, kudhibiti, na kusajili wataalamu wa ukatibu na utawala katika sekta za umma na za kibinafsi.

Share: