Kenyans Live

Wafanyabiashara Maralal kaunti ya Samburu wataka hatua za haraka kukabili mafuriko ya El Niño

Description (show more)

Kaunti ya Samburu inapojitayarisha kukabiliana na mvua za El Niño zinazotarajiwa, wafanyabiashara mjini Maralal wanatoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za haraka kuzuia mafuriko na kulinda biashara zao dhidi ya hasara. Serikali ya Kaunti, kupitia Manispaa ya Maralal imeanza kuzibua mitaro ya majitaka.

Share: