Kenyans Live

Jamii na asasi za usalama zahimizwa kukabiliana na magenge

Description (show more)

Waziri mamlaka makuu  Musalia Mudavadi ameonya kuwa magenge ya uhalifu yaliyopangwa yanaweza kugeuka kuwa makundi ya watu wenye itikadi kali na magaidi ikiwa shughuli zao hazitafuatiliwa kwa karibu.Mudavadi amesema kuongezeka kwa shughuli za magenge, vurugu na vitisho kunahitaji jamii na vyombo vya usalama kuwa macho zaidi ili kuzuia mitandao ya uhalifu kujikita na kuwa tishio kubwa zaidi kwa usalama wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: