Kenyans Live

Wakazi wa Mosoriot waitaka serikali kuimarisha doria za polisi kukabili uhalifu Nandi

Description (show more)

Wakazi wa eneo la Mosoriot katika eneo bunge la Chesumei, kaunti ya Nandi, wameitaka Wizara ya Usalama wa Ndani kuimarisha doria za polisi na kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na visa vya uhalifu eneo hilo.

Share: