Kenyans Live

Chama cha maafisa wa kliniki KUCO tawi la Trans Nzoia yasitisha mgomo kufuatia agizo la mahakama

Description (show more)

Chama cha kitaifa cha maafisa wa Kliniki, KUCO, tawi la Kaunti ya Trans Nzoia, kimetangaza kusitisha mgomo wa takribani siku 77, kufuatia agizo la Mahakama ya Leba.

Share: