Kenyans Live

Wafanyabiashara 2,700 wa soko la Masinde Muliro wahofia kupoteza vitega uchumi

Description (show more)

Wafanyibiashara 2,700 katika soko la Masinde Muliro mjini Kitale wamesalia kwenye njia panda baada ya serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia kuwataka kuondoka katika saa 24. mvutano kati ya serikali kuu na ya kaunti kuhusu soko hilo umezua wasiwasi miongoni mwa wafanyibiashara hao ambao wanasema wanapoteza kitega uchumi chao.

Share: