Kenyans Live

Wanafunzi wa vyuo vya ufundi Uasin Gishu wapinga ugumu wa mitihani ya lugha za kigeni

Description (show more)

Wanafunzi wa vyuo vya ufundi katika kaunti ya Uasin Gishu hasa wanaosomea lugha za kigeni ili kusaka ajira za ughaibuni,wamelalamikia ugumu wa mtalaa na mitihani ya lugha hiyo, na kupendekeza kufanyiwa mabadiliko.

Share: