Kenyans Live

Wakulima Magharibi wakumbatia ufugaji wa kuku na mbuzi

Description (show more)

Idadi kubwa ya wakulima katika eneo la Magharibi wameanza kukumbatia ufugaji wa kuku na mbuzi, hali ya uchumi ikitarajiwa kuimarika zaidi katika eneo hilo lililotegemea pakubwa kilimo kinachofifia cha miwa na pamba. Jane Jerotich na taarifa hiyo

Share: