Kenyans Live

Ann Njeri ageuza kilimo kuwa chanzo cha mafanikio na kuwainua vijana Narok

Description (show more)

Katika makala ya mwanamke bomba wiki hii tunamuangazia Ann njeri ambaye amejijenga kutokana na ukulima huko Narok. Licha ya kuamua kutumia kilimo kama njia ya kujiendeleza maishani, Anne pia amewahamasisha vijana wenzake kuachana na uraibu wa pombe na kuchangamkia kilimo, juhudi ambazo zimezaa matunda kwani ann ameweza kubadilisha maisha ya wengi katika eneo hilo.

Share: