Kenyans Live

Wataalam waonya kuhusu ongezeko la wagonjwa wa saratani ya matiti Kenya

Description (show more)

Huku maadhimisho ya uhamasishaji kuhusu saratani ya matiti ya mwaka huu yakifika kileleni, wataalam wa ugonjwa huu wanasema idadi ya wakenya wanaougua saratani ya matiti inazidi kuongezeka Hali hii ikiongeza mzigo wa matibabu kwa familia nyingi.

Share: