Kenyans Live

Ajali zaua watu 20 katika muda wa siku moja

Description (show more)

Huzuni imetanda katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Sultan Hamud, kaunti ya Makueni, jamaa za watu 17 waliofariki katika ajali eneo la Salama Jumamosi walipofika kupokea miili ya wapendwa wao. Hali hiyo ya majonzi imezidi kutanda huku watu wengine watatu wakifariki katika ajali tofauti katika kaunti za Nakuru na Machakos. Serfine Achieng’ Ouma ana taarifa zaidi kuhusu ajali hizo, huku idadi ya waliofariki tangu jana ikifikia watu 20.

Share: