Upinzani waanza mchujo wa mgombea wa 2027
Description (show more)
Siasa za Umoja wa Upinzani na mchakato wa kumteua atakayepeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto mwaka wa 2027 zilishamiri katika mazishi ya Jackson Karua, babake kinara wa PLP, Martha Karua. Kila kiongozi alionekana kujipigia debe huku wakisisitiza kuwa wanaazimia kufikia makubaliano ya mgombea mmoja. Hata hivyo, viongozi hao wamewaonya wale watakaoasi upinzani na kuungana na Rais William Ruto, wakisema hatua hiyo itawafanya kuwa wasaliti wa wafuasi wao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 813 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 505 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 455 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
