Kenyans Live

Wakazi Bureti wamjengea Joseph Ngeno nyumba kwa msaada wa jamii

Description (show more)

Wakazi wa Kapsogeruk katika Wadi ya Litein, eneo la Bureti, wamejitolea kumjengea nyumba mkazi mwenzao Joseph Ngeno, ambaye ana watoto watatu walemavu.

Share: