Kenyans Live

Utafiti wabaini mapungufu makubwa katika elimu ya watoto nchini

Description (show more)

Utafiti mpya wa elimu umebaini mapungufu makubwa katika elimu ya watoto nchini, huku asilimia 42 ya watoto wenye ulemavu wenye umri wa miaka 5 hadi 18 wakiwa nje ya shule. Utafiti huo unaonyesha kuwa asilimia 50.8 ya wanafunzi wa Gredi ya Kwanza hawawezi kutambua herufi za alfabeti, huku asilimia 93 wakishindwa kufanya hesabu rahisi za kutoa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya