Kenyans Live

Kongamano la kwanza la wawekezaji Afrika mashariki lafanyika Nairobi

Description (show more)

Kongamano la kwanza la wawekezaji Afrika Mashariki limefanyika jijini Nairobi. Kongamano hilo linalenga kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano kati ya sekta binafsi katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Share: