Kenyans Live

Maafisa wa kliniki Makueni wadai haki baada ya kuvamiwa

Description (show more)

Maafisa wa kliniki katika Kaunti ya Makueni wanadai haki baada ya wenzao kuvamiwa na wahuni walipokuwa wakiandamana wiki mbili zilizopita.

Share: