Kenyans Live

Wasiwasi waibuka kuhusu usalama kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa 2027

Description (show more)

Wadau mbalimbali wameelezea wasiwasi kuhusu uwezekano wa machafuko kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu ujao. Kampeni zilizosheheni vurugu na kukithiri kwa magenge ya wahuni wanaotumiwa na wanasiasa kuwavuruga mahasimu wao zimetajwa kama vi chocheo vikuu vya ghasia za uchaguzi. Hata hivyo maafisa wa polisi wametoa hakikisho kuhusu usalama wakati wa kipindi cha kampeni na uchaguzi huku vyama vya kisiasa vikitia saini mkataba wa nidhamu na amani.

Share: