Maombolezo Subukia baada ya vifo vya mahujaji 17
Description (show more)
Maombi ya mwaka huu ya waumini wa Kanisa Katoliki yaligubikwa na majonzi na tanzia, huku waliojumuika katika Madhabahu ya Subukia, Kaunti ya Nakuru, kwa ajili ya maombi wakikumbwa na maombolezo. Haya yanajiri kufuatia vifo vya watu 17 waliokuwa wakisafiri kuhudhuria maombi hayo, baada ya kuhusika katika ajali huko Salama. Maaskofu waliwaombea marehemu huku wakiwataka madereva kuwa waangalifu zaidi wanapotumia barabara ili kuzuia ajali na vifo zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 813 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 505 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 455 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
