Kenyans Live

Kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium yatambuliwa kwa juhudi za kurejesha mazingira

Description (show more)

Kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium imepewa cheti cha kutambua juhudi zake za kurejesha hali ya kawaida ya mazingira katika baadhi ya maeneo yaliyokuwa yameathiriwa na uchimbaji madini.

Share: