Kenyans Live

Wakazi wa Budalangi waingiwa na hofu ya mafuriko ya mto Nzoia

Description (show more)

Licha ya serikali kujizatiti kuweka mikakati kabambe ya kukabiliana na athari za mvua ya El nino, baadhi ya wakazi wanaoishi Budalangi eneo la Bunyala Kusini wameelezea hisia mseto kuhusu maandalizi hayo, wakisisitiza kuwa mito na maziwa yako katika hatari kubwa ya kuathirika na mafuriko ya ghafla.

Share: