Watoto-8 watolewa kwenye nyumba ya mamake Paul Mackenzie
Description (show more)
Maafisa wa ujasusi wamewaokoa watoto 8 waliozuiwa kuhudhuria shule kwenye familia inayohusishwa na Paul Nthenge Mackenzie mjini Malindi. Watoto hao wenye umri wa kati ya mwaka mmoja na 14, waliokolewa kwenye msako uliofanywa leo na maafisa wa ujasusi wakiongozwa na Martin Nyuguto na afisa wa maswala ya watoto katika kaunti ndogo ya Malindi ,Sebastian Muteti. Watoto hao walipatikana kwenye makazi ya Mackenzie mjini Malindi wakiwa na mamake Anastazia Mackenzie, na bintiye na wakapelekwa kuhojiwa. Uchunguzi pia unafanywa kuhusiana na madai kwamba watoto hao waliagizwa kujifunga kula. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:56
2:11Local philanthropist donates school uniforms to Kibra learners
4:46KTN Obtains Bomas Contract, Reveals Details Behind KSh10.2 Billion Cost Increase
1:37Kachapin Condemns Former Kacheliba MP Lomunokol Over Alleged Incitement and Community Profiling
1:56Hundreds Join Breast Cancer Awareness Walk in Mombasa, Urge Early Screening
1:50Murang’a Opens Expanded Hospital Facilities to Boost Bed Capacity and Ease Congestion
2:05Mombasa Journalists Urge Faster Investigations into Attacks on Media Practitioners
2:01