Kenyans Live

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa awataka viongozi wa ODM kuunganisha chama na kuepuka migogoro

Description (show more)

Gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa amewataka viongozi wa ODM na wafuasi wao kuunganisha wakenya na kuimarisha chama chao badala ya kuendeleza migogoro. Gavana huyo amesema migogoro ya mara kwa mara inaharibu chama na kuondoa umaarufu wake hapa nchini. Aidha Gavana Baraza amewataka viongozi walioko chamani kuendeleza sera za Raila Odinga ili chama kisalie imara.

Share: