Kenyans Live

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akanusha madai ya kufadhili upinzani

Description (show more)

Viongozi wakuu wa muungano wa Kenya Kwanza, wakiongozwa na Spika Moses Wetangula, wamewataka wakazi wa Kaunti ya West Pokot kumchagua tena Rais William Ruto kwa kuwa anatekeleza ahadi zake. Wakati huo huo, viongozi hao waliwapuuza wapinzani wa Rais Ruto, wakisema hawana ajenda madhubuti ya kushindana naye. Kwingineko, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alikejeli na kupuuzilia mbali lebo ya "mfadhili" au sponsor kutokana na  uvumi kwamba anafadhili shughuli za upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: