Mfumo mpya kutumia teknolojia kuimarisha huduma za SHA
0 viewsYouTube
Description (show more)
Halmashauri ya bima ya Afya ya Jamii -SHA imezindua mfumo wa kidijitali wa Hakika, ambao utatumika kusimamia mikataba ya wahudumu wa afya kuanzia tarehe moja Oktoba mwaka huu. Halmashauri hiyo imesema kuwa mfumo huo utatoa taarifa kwa wakati ufaao kuhusu huduma zinazotolewa katika vituo vya afya, viwango vya malipo pamoja na taarifa za benki katika juhudi za kushughulikia baadhi ya changamoto zilizojitokeza katika mfumo wa sasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
23:57
1:31Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akanusha madai ya kufadhili upinzani
1:50Lewa: Walinzi wa Wanyamapori Kukimbia Km 21 Wakiwa na Mizigo
· 16 views
1:50Kombe la Netiboli Afrika: Kenya Yalenga Kumaliza Tatu Bora Katika Mashindano ya Afrika
· 4 views
33:42🔴LIVE || TV47 HABARI naye Elizabeth Mutuku || TV47KENYA
· 1.2K views
1:15Agnes Ngetich Awania Kutawala Copenhagen Half Marathon Baada ya Kung’ara Nyika
· 8 views
42:11LIVE: Darubini Wikendi || 18th September 2026 || www.kbc.co.ke
· 1.2K views
2:26Bandari FC Yaweka Lengo la Kutwaa Ligi Kuu Baada ya Maandalizi ya Wiki 10
· 6 views
