Kenyans Live

KUPPET na KNUT Zatofautiana kuhusu usimamizi wa Shule za Junior Secondary

Description (show more)

Mchakato wa kukusanya maoni kuhusu ufadhili wa elimu nchini umezua tena mjadala kuhusu uhuru wa walimu wa jss kujisimamia huku vyama vya walimu vya KUPPET na KNUT vikitofautiana kuhusu suala hilo. KUPPET inataka walimu hao watenganishwe na shule za msingi huku KNUT ikisisitiza usimamizi usalie katika shule za msingi.

Share: