Kenyans Live

Balozi wa Ufaransa azuru Kilifi kutathmini huduma za saratani na afya nchini Kenya

Description (show more)

Balozi wa Ufaransa nchini Kenya, Wadid Benaabou, amezuru Kaunti ya Kilifi katika ziara iliyolenga kutathmini maendeleo ya huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani, pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Kenya na Ufaransa katika sekta ya afya.

Share: