Kenyans Live

Barabara mpya yawapa matumaini ya huduma bora kwa wakazi wa Gwasi kaunti ya Homa Bay

Description (show more)

Wakaazi wa vijiji vilivyoko kando ya milima ya Gwasi eneo bunge la Suba kusini wameonyesha matumaini ya kupata huduma za afya na elimu Bora. Hii ikiwa ni mara ya kwanza kwao kufikiwa na barabara ya kisasa.

Share: