Matiang’i ataka mikataba ya serikali iwekwe wazi
44 viewsYouTube
Description (show more)
Kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiang’i ameimarisha shinikizo za upinzani kwamba serikali itangaze maelezo kuhusu mradi uliozinduliwa hivi maajuzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote cha kanda ya Afrika mashariki kitakachogharimu shilingi trilioni-2.2 katika kaunti ya Lamu. Wakati huo huo anaitaka serikali itangaze makubaliano ya uchimbaji mafuta kwenye mkataba huo ili kuimarisha uwazi na uwajibikaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:43Ifahamu China I Ziara za Kiteknolojia
· 2 views
1:09Former Nairobi PC Chelogoi jailed for three years in Sh1.3 billion land fraud
· 35 views
1:27Wanafunzi kutoka kaunti kame kunufaika na ufadhili
1:56Vijana eneo bunge la Kamukunji wapokea mafunzo ya ujuzi
2:14Wakazi wa Olkoilanka, Narok wapata kisima cha maji
· 1 views
1:54Vijana watumia ujuzi wao kusafisha, kukarabati shule Gatundu
· 2 views
1:52Wazazi watakiwa kuwalinda wasichana dhidi ya tamaduni potovu
2:08Wanahabari waadhimisha siku ya kukabiliana na dhulma dhidi yao
· 1 views
