Kenyans Live

Wizara ya Afya yaweka mikakati ya kukabili dawa ghushi

Description (show more)

Wizara ya Afya imewataka wananchi kuwa makini wanaponunua dawa katika maduka ya dawa, na kusisitiza kuwa dawa zinapaswa kununuliwa kutoka kwa wauzaji wenye leseni pekee.

Share: