Kenyans Live

KMPDU Yalaani Mashambulizi Dhidi ya Wauguzi Makueni

Description (show more)

Chama cha madaktari KMPDU tawi la ukambani kimekashifu mashambulizi dhidi ya wahudumu wa afya kama ilivyofanyika wakati wa mgomo wa wauguzi mjini wote kaunti ya makueni.

Share: